Mwenye Majibu ft. MADAM FLORA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mwenye Majibu ft. MADAM FLORA - Goodluck Gozbert
...
mfumu hawezi kukusaidia
rafiki hawezi kukusaidia
nduguyo hawezi kukusaidia
mpenzi hawezi kukusaidia
umeshndwa hlo hlo kwa mwanadamu hlo hlo
ulilete hlo kwa bwana Yesu hlo hlo
amesema anatenda umwamini ajawahi acha neno lipotee .eeeeeh
alisema atatenda nimeona hajawahi shmdwa kitu mfalme .eeeehhh
................................................
..........BRIGDE.....
ndyo yake moja inabadili maisha ndyo yake moja inaleta amani
akisema sawa utaheshmishwaaa
( mwite tuuuh )3
...................................................
..............................................
....CHORUS...
iyeleleleh
yupo mwenye majibu (asiye lala) yeye asiye ndyo kwake ni ndyo hakuna hakuna
ayeyeyeye yupo mwenye majibu yeye asiye lala (ndyo ndyo ndyo) ndyo kwake ni ndyo hakuna hakuna
..........................................
Kiti cha enzi,kiti cha sifa nyenyekea utapata majibu. kiti cha karne zamani zote eehh amini amini kuna jibu
ooooooohhhhhh ameketi kwenye enzii hakuna jambo gumu tena. Kama afya na uzima aahh lolote amini amini
ayayayyayaah anajua maumivu anaona na machozi yeye ni baba yeye mulezi ( yeye Mulezi) Daima daima daimaaah
......................
REPEAT
(BRIGDE............)
(CHORUS......... )2
.......................
Tunakuandamia tegemea egemea bwana
mbawani mwako ni salama tena jemedari wa majeshi ya ushindi hushindwi lolote eeehhh tutashnda kwa heshma tenaa maanaaaaaaa
..........................................
(CHORUS. .........)
...........................................
ASANTEEEEEEH................