Hao Hao Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Hao Hao - Goodluck Gozbert
...
kumbe ni hao×2
sijui nini nimewaza ila ngoja nikushauri
aina maana ukiokoka unafanyika malaika
husije kujifanya imekua ila huduma mwanzo imekuwa ni changa sana
Maneno usemwa bila kujali moyo Wako..
Uwe na uwezo wa kustahimili Mwenzangu una
maneno kidogo yakishasemwa hunarudi nyuma
ukifanya vizuri watakwambia humemwacha mungu uh!
Wakikukwaza hukawaeleza Watasema
huna kiburi cha Uzima
Nilipo kua mtoto nilinena sawa kama Mtoto ooh!
Sasa Nimekua ndo Nimeshakua
Ninajua nini Nafanya
nilimwamini Rafiki kanisani akamwasi mungu na mimi sikuzoea
nilidhania kumuamini mtu kuna Faida
jamani Ningepotea ila nimejua ah!
chorus
kumbe ni [hao×2]hunao cheka nao na
kuimba nao
maneno yao hao
yatakupotosha nasimama na mungu
........ .......
tukisema Husali Wanadamu Wakuone
shauri zako
tukisema uombe marafiki wakusifie
utafeli wewe
Mengi na vingi ni Fitina za wanadamu
Vingi vitibwi humeandaliwa wewe
Ivyo husikate tamaa husilale husivunjike Moyo
maneno mengine yatasemwa mpaka Hutashangaa
hunao wajua ndio wale wanakusengenya
nikwambie hakuna mwanadamu Mtimilifu
Bora ujue hunaye Mtumikia leo
ila mimi na Nyumba yangu Nitamwimbia
bwana ah!
Mimi familia yangu nitamwinua mungu uh!
oh! mimi na familia yangu nitamwinua bwana ayee!!
........................
..........................