Kinamuuma Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kinamuuma - Goodluck Gozbert
...
Kinamuuma shetani kinamuuma
Kinamuuma shetani kinam
Ameningoja zamani aninase na kamba amehaibika ningali chini ya mwamba
Tena nashangaa alitumia wanadamu
Mi nina mungu amewatoa manundu
Wale wachawi mabonde radi zilizotumwa
Yesu alinibeba mbawani mwake
CHORUS
Kwanza ngoja nicheke hahahha hahahaha
Nicheke tena hahahah hahaha x2
Kinamuuma kinamuuma (kinamuuma shetani kinamuuma)x3
Aliyozuia yote yameshindikana ahhha
Wameoana amekasilika kinamuuma
Aliochonganisha wamepatana kinamuuma
Wale aliopanga wafe anawaona tena kazimia ka wampeee pepee wa mpepee tena wampe na pole aiye yeye yeyeee ameshinda tena yesu ameshinda na vita
Kinamuuma kinamuuma (kinamuuma shetani kinamuuma )x3
Anaona aibu anapita kwa mbali alinisukuma sana nianguke nimekataa akatuma majeshi akakuta majeshi kimeumana akachapwa anashangaa
Huyu ni mungu gani aiee
Anauweza gani aie
Analejesha amani yani namshangaa
CHORUS CHORUS
Watu wametoboa maisha yanaendelea wametoboa toboaaa watu wametoboa mungu kawatetea wametoboa toboa