Afadhali Yesu ft.Guardian Angel Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Afadhali Yesu ft.Guardian Angel - Goodluck Gozbert
...
verse1
nikiwa kwa matendo ya mwili ulinipenda hukunitupa.
nimekukosea Mara nyingi,ukanipenda na msamaha.
na bado nakushangaa hujanichoka hujanichoka,kitazama kwenye list Mimi sidhani ungenisamehe.
sikua na faida eeh,na dunia ulinikataaa
pengine wangeshanizika Ila ukaniacha nisimulie.wema wako wewe
chorus
afadhali wewe tu,afathali yesu
afathali wewe tu, afathali yesu