Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

Lyrics

Haki Yake Mungu (Replay) - Neema Gospel Choir

...

(Wokovuuu)Wokovu wa watu wenye haki(wa haki wa haki)wameona jina la

Yesu(Eeeeh eeh la Yesu la Yesu)tabu zijapowazonga hawayumbishwi(kwa kuwaaa)kwa kuwa Bwana yu pamoja nao(Iiiiih bwana)Bwana hupendezwa na haki(na haki na haki)Yeye ni Mungu wa haki milele(Eee eeh milele milele)wasioenenda kwa haki yake(Eeeeeh Bwana) huwaangamiza kabisa


Verse:Watu wa Mungu tusimamie nafasi zetu tusimamie haki Mungu katuagiza tusiwe chanzo kuipotosha kweli yake hatutaiepuka hukumu yake Mungu X2


Ona yatima hawa wanalala na njaa na wajane hawana pa kukimbilia,matajiri wanajilimbikizia mali wanatafuta pesa kuipotosha hakiii X2


Chorus:Haki yake(haki) haki yake Mungu(haki yakee) ndiyo pekee huinua taifa haki yake haki yake Mungu ndiyo pekee inaleta amani X2


Verse:Hakiiiiii haki yake Mungu ndiyo pekee inaleta amani,hakiiiiiii haki yaaake Mungu ooh ndiyo pekeeeee huinua huinua huinua taifa Kama Mungu alivyosema ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekesha na kuomba na kunitafuta uso na kuziacha njia zao mbaya basi nitasikia kutoka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao Haleluya!!!


Final verse:Viongozi wa serikali na viongozi wa kidini kila mmoja atimize wajibu wake kuilinda na kutenda haki kila mmoja atimize wajibu wake kuilinda na kutenda haki X2

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status