Jina Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Jina Yesu (feat. Paul Clement) - Neema Gospel Choir
...
Ladies and gentleman
I bring to you
Our dearest Brother
Paul Clement
Paul Clement Verse
Yapo majina mengi
Yenye sifa nyingi
Ila jina la Yesu
Limepita majina yote *2
Jina hili la kuaminiwa
Jina hili la kutegemewa
Jina hili ni ngao
na nguzo ya mataifa
Jina hili la kuinuliwa
Jina hili la kuheshimiwa
Jina hili ni ngao
Na nguzo ya kimataifa
yapo majina mengi
yenye sifa nyingi
ila jina yesu limepitama
ukiilitaja lina msaada
ukiliita lina msaada
ukiliamini lina msaada