NEEMA YA MUNGU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Neema ya Mungu
Neema ya Mungu imetuokoaa
Neema ya Mungu
Neema ya ya Mungu ni ushindi wetu
Haleluya aah haleluya
Neema ya Mungu imetuokoa,
Haleluya aah haleluya
Tumemshinda shetani
Tunashukuru, Ujio wake Yesu.
Twafurahia, Ukombozi oooh wetu
lsingekuwa Yesu, tusinge hesabiwa haki mbele zake
Pasipo nguvu ya ukombozi tungepotelea shimoni mwa dhambi
zetu (mwa dhambi)
Yesu,
Ni nguvu ni ngome ni mwamba
Yesu, ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu
Si kwa nguvu bali ni neema kukombolewa twafurahi,
Ni yeye anajua kuhesabu siku zetu huyasikia maombi yetu
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba,
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu