I'M Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Stamina - I'M - Stamina (TZ)
...
I'm everything....
Shorwebwenzi on this one
Aaah japo natokea street
Ila njaa hainigangi
Nikivuta navuta hewa sio moshi wa bangi
Kwenye mapene sasa toa macho kama mangi
Yani fresh from church so waganga hawanichanji
Mnaowasifia wanachana wakichana siwaelewi
Hata nikiwageuza pombe hafu nikawanywa na silewi
Waambieni watoto wa mama mi mjomba sichezewi
Sema tu ni underrated ndo maana sifa sipewi
Ukiingia booth? ujue ni bad meet evil
Kwenye show ndio master meet shivo?