Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Israel ft. Belle 9 - Stamina (TZ)

...

Wamemchokoza Bea

Stamina na Belle 9 toka moro town

Stamina na Belle 9


STAMINA

Sikujui Haunijui, nakutafuta sana

ningekua na namba yako ningekupigia sana

Hivi we ni mwanamke au mwanaume unanichanganya,

Au hauna jinsia ni baraka au ni Lana?.


Ok

Labda nikuibie tu siri, hakuna anayekupenda unaonekana we mkatili

Hivi we ni chawa wa Mungu au unajitolea?,

Mana Mungu wetu anahuruma au unajitegemea


Nataman nijue Rafiki yako nani?

Niunde nae Urafiki ili uniache Duniani.

Nakufika kila sehemu unatumia usafikiri gani?

mana kila sehemu upo Dereva wako ni nani?


Aaa, Mbona sasa unafura, usichukilie vitu personal mbona unakunja sura?

Au kisa nimekuhoji au pengine haujapenda?

Usikonde Verse ya pili sikubomoi nitakujenga...


Motoni au pepo..

wapi mwisho wako kila siku najiuliza miii

Wakubwa watoto unachukua wote we hujali ndoto kuishia njiani

Motoni au pepo..

wapi mwisho wako kila siku najiuliza miiii

Wakubwa watoto heyy


Esrael bwana, kuna vitu unafurahisha mfano kifo cha Idiamin Dadaa ulitishaa..

Lakini Mv Bukoba Melini ulifata nini?

Au unashep ya Samaki ndo mana unaishi majini..


Unachoboa unawaondoa watu wasio na hatia,

Afu uanawaacha mafisadi ili wazid kutuibia

Hivi we ni chama gani?

Ngoja nikuulize kiutani..

Mbona kipindi cha kampeni uwatoe viongozi Duniani?


Ninachojiuliza? Hivi we hauna hisia,

mbona wapenzi kibao wanajiua unashuhudia?

Sitaki Bifu na wewe Aaa..

Sitaki tabu

Umewaondoa wana wengi na tena bila sababu..!

Si umemuona Mwajuma leo umemwacha yatima.!

Ulipomchukua Mama mzazi iliiniumiza mtima!

Ninachojua kifo ndo njia pekee ya kwenda Mbinguni..!

Umemchukua Yesu na Mtume? Asee we ni Mhuni..!


Motoni au pepo..

wapi mwisho wako kila siku najiuliza miii

Wakubwa watoto unachukua wote we hujali ndoto kuishia njiani

Motoni au pepo..

wapi mwisho wako kila siku najiuliza miiii

Wakubwa watoto (Tunajiulizaaa)


Deni gani duniani hatujalipa

kila leo unachukua hutaki kubadilika

Sala gani ambayo imetupita..

Geuza maskio na hofu kabla hakujakucha..(yee)


We ni nani?

unayefanya dunia nzima watu wote wanakusamani..

ooooh noooo...


Motoni au pepo..

wapi mwisho wako kila siku najiuliza miii

Wakubwa watoto unachukua wote we hujali ndoto kuishia njiani

Motoni au pepo..

wapi mwisho wako kila siku najiuliza miiii

Wakubwa watoto (Tunajiulizaaa..)


Thank you (Jacktons)

More Lyrics from Stamina Shorwebwenzi Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status