Jela Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
jelah×4
kwa kipindi kirefu, nimefungwa bila kosa, na funguo za jela ni mfuko wangu mwenyewe nikipata nimetoka nikikosa nikusota tabu zetu mimi na wewe zimeniweka kwa kaselo aii nilipata visarafu sarafu mama angu kazidiwa wakasema ukatibiwe ulaya, nikakosa lamaana likaja dili ya mzungu, mtt akaugua kumsababisha apone, ndani nikarejea sio kama napenda kuishi jela unajua nikisema nirudi mtaani, aibu fedheha mwambie na aliya binti yangu nimemkumbuka sana nitarudi na vizawadi inshallah niombee, aah siunajua nikirudi tutaimbiana nyimbo ukiwa na furaha tutavaa mitindo nikipata faranga we niombee kwa mungu nitatoka labudaah riziki mafungu ninangoja la saba
ooooh jela jela hii ya pesa
jelah jelah hii ya pesa
jelah jelah hii ya pesa
jelah jelah hii ya pesa