Yanapita Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Yatapita - Ruby Tz
...
Yanapitaa
Yani ile tu nikasema nijimek mek thamani
Ili kesho nitatue swala fulani matatizo yainuka apo
Yani ile tu nikasema nitulie na mpenzi fulan
Ili kesho niishi maisha ya amani usaliti wainuka apo
Yani ile tu nikasema nifanye mishe zangu kwa amani
Ili niache makelele duniani maneno yainuka apo
Nauliza uchungu hukauki wewe hukauki wewe
Kama cheni cheni
Nauliza hudhuni why hukauki wewe
Kama cheni cheni
Sometimes natafuta nlipokosa sipaoni
The way wanavyonishtumu mbona bado sijioni
Mimi najiona stering wao wananiona enemy
Ngoja nitulie yawezekana ni kipimo cha imani
Kwa ujasiri nitazidi kili
Ooooh yanapita kama upepo
Oooh hayatodumu hayatodumu
Maisha yangu kesho ni historia
Niliopitia yatakuja ponya wenginee
Maisha yangu kesho ni historia
Yatakuja ponya mioyo ya wenginee
Japo kua ninaona ardhi imepasuka vipande
Amani yao ni wingu limepasuka vipande
Mvua mvua yaninyeshea utadhani ni ukame
Naimani bado mimi ni mzawa wa kifalme
Eehy Sometimes natafuta nlipokosa sipaoni
The way wanavyonishtumu mbona bado sijioni
Mimi najiona stering wao wananiona enemy
Ngoja nitulie yawezekana ni kipimo cha imani
Kwa ujasiri nitazidi kili
Ooooh yanapita kama upepo
Oooh hayatodumu hayatodumu
Uuuoooh ooooh
Yanapita yanapita
Oooh
Hayatodumu hayatodumu