Dakika Moja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Dakika Moja - Ruby (tz)
...
Sukari imegeuka chumvi, Paka amegeuka chui
Matope yamekuwaga vumbi, Maziwa yamegeuka tui
Kupendana mamaa ilikuwa zamani, Siku hizi kufa kufaana upendo ulikuwa zamani
Kupendana mamaa ilikuwa zamani, Siku hizi kufa kufaana upendo hauna thamani
Dunia ina raha yake yeaah, na mabaya yamo ndani
Na visanga vyakee, na mabaya yamo ndani