Ntade Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Ntade - Ruby (tz)
...
Verse 1
aiiiaiiiaiii
..........
woooow
ile mito milima tuliopita uliiona
nikavumilia nikang'ng'ana sina ona
kuna vingi dada ni majanga utaona
vikijipitisha vinatingisha utaona
waambie siongezi neno nishaweka nukta
wajue nilitulia sikupurukuka
waambie yeyee umenibana sitofurukuta
mie yeyee nipeleke vyovyote mwendo wa guta
Hook
ata uuze karanga sawa sawa
niliyeridhia kidogo tutachanga sawa sawa
eh wanasema umenipiga manyaanga sawa sawa
niroge niue nimefundwa na nyakanga sawa sawa
Chorus
nikumbate kama mtoto (ntadeka ntade)×2
tena nipe penzi moto moto (ntadeka ntade)
baba wewe (ntadeka ntade)
bababababaabaaa aaah
Verse 2
naheshimu maamuzi maana nimempenda mwenyewe
nishayavulia nguo bwana acha niooge
aah ananikikuna panapokunika nikiwaashwa
ananishona palipo chanika sitomwaacha
Ila unajuaga Mimi mwenzako
nakupenda napenda kweli kweli eeh
tena baby mwenzako mimi endapo ukinitenda utantenda kweli kweli
Repeat Hook
Chorus
nikumbate kama mtoto (ntadeka ntade)×2
tena unipe penzi moto moto (ntadeka ntade)
baba wewe (ntadeka ntade)
bababababbabaabaaa aaah
(ntadeka ntade)
ntadekaaa aah (ntadeka ntade)
ntadeka ntadeka ntadeka ntadeka weee (ntadeka ntade)
aaaah (ntadeka ntade)
Closer (ntadeka ntade)
Closer (ntadeka ntade)
Closer weeh (ntadeka ntade)
oh ma God it's better some (ntadeka ntade)