Niwaze ft. The Mafik Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Niwaze ft. The Mafik - Ruby (tz)
...
(Ruby) Heeee ieeee
Unasema unanipenda una ngapi
Vile ulinambia unaishi wapi
Pesa huna una magari mangapi
Kwa yako mapozi tu sa nikupeleke wap
Basi imba nisikie pengine utanivutia
Cheza kidogo ooooh
Imba nisikie pengne utanivutia aah imba kdgoo eeeh
Chorus: ruby) heey acha niwaze(waze)
Acha nikufikirie ee(waze)
Acha niwaze e(waze) ohhhh ohhh
Acha niwaze(waze)
Acha nikufikirie ee
Acha niwazee ee nilipi niamue eee
The mafik:kitambo sina mkwanja unajua
Yani kama mgambo gwanda langu sijavua
Ohh ma bebi nishatupa kule kule
Tangu enzi za shule kule
Vicheche nisha tupa kule kule
Nimekuchagua we uwe wangu nisikize
Wa milele tafadhali usiniumizee
Repeat chorus
The mafik:uuuh wowo
Ata japo nkikujua jina kwangu sawa
Ila usizidishe ukaja ntoa dinner ntapagawa
Me mwenzako uvumilivu sina we haya
Ntakuganda km ruba niwe wako chawa
Kwel mapenzi ninayo pesa na mali sina
Ila ni maisha yapitayo kesho ntakua na jina nivumilie
Repeat chorus