Alele Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Alele - Ruby (tz)
...
Its Bob Manecky.. Heeh yeaah... Nikisema
nitakufa Kisa mapenzi, moyoni
nitamkosea Wanayadhani nina ufa
Hakuna mwenzangu, nyumba
inamdondokea Mi najua Sina dhamani
kwako utanikumbuka Nishatenda wema
Mi nakwenda zangu utanikumbuka Poleza
na moyo we, mwaya we Najua
amekuumiza Ila yupo mungu, baba Najua
atalipiza Pole sana moyo, mwaya Najua
amekuumiza Ila yupo mungu,baba Najua
atalipiza Alele, nishalia Alele, nikaumia
Alele, sina dhamani kwako Alele, mtima
ulilia Alele, maana wengine wapo... Alele,
nishalia Alele, nikaumia Alele, sina
dhamani kwako Alele, mtima ulilia Alele,
maana wengine wapo... Kwa mitaa jamaa
anaandamana Kweli mapenzi yanaliliwaa
Niliachaga drama na ujana Eey yeah...
Yalianzaga enzi Ikanenaga na nafsi acha
nivumilie Jamani mapenzi Yamekuwa
hadithi acha nisimulie Poleza na moyo we,
mwaya we Najua amekuumiza Ila yupo
mungu, baba Najua atalipiza Pole sana
moyo, mwaya Najua amekuumiza Ila yupo
mungu,baba Najua atalipiza Alele, nishalia
Alele, nikaumia Alele, sina dhamani kwako
Alele, mtima ulilia Alele, maana wengine
wapo... Alele, nishalia Alele, nikaumia
Alele, sina dhamani kwako Alele, mtima
ulilia Alele, maana wengine wapo...