Wacha Waone ft. Martha Mwaipaja Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Goodluck Gozbert - Wacha Waone ft. Martha Mwaipaja - Goodluck Gozbert
...
Wacha waonee,wacha waone,wacha waone
Vile wewe ni ngome
wacha waonee,wacha waone,wacha waone
vile wewe ni ngome ,Yesu
wacha waonee wacha waone wacha waone
vile wewe ni ngome
wacha waonee wacha waone wacha waone
vile wewe ni ngome
music
Martha mwaipaja;
Niko hapa kukuwakilisha yesu wangu
Nataka waone vile ulivyo ngome kwangu
Tumetoka mbali umenitoa mbali
Ninaomba waone ulivyo mkubwa
ulikonitoaa Mimi najuaa
Ndiyo maana nasema, wewe ni mwamba
Sitarudii kule nilikotoka
Niko na wewe wangu ni mwamba
Ulikonivusha mimi najuaa,
Ndiyo maana nasema wewe ni mwamba
Kwa macho waone, ulivyo
Ili nao waelewe wewe ni ngome
Kwa macho wakujue,niliye nayeee
Wao waseme kweli ni ngome (Oyooo)
Chorus
Wacha waone wacha waone wacha waone
Vile wewe ni ngome
Wacha waone wacha waone wacha waone
Vile wewe ni ngome
MUSIC
Goodluck Gozbert
Siibishani siibishani na wabishi sugu
Nisije nikasema ukakasirika mungu
Sitetei sitetei hali yangu ngumu
Sinajua ukitenda watatafutana huku
We yawe,ee
Sina sina wakulinganisha (ee)
Na wewe
Nashukur shukuru shukuru kyara
hata Yale uliyonitendea,pasipo kuomba e
Ngome yangu ya siri ni wewe mungu
Ona vile hunipigania nisiaibike e
Utawale utawale tu utawale hee her
Utawale utawale tu utawale hee
Jineke dady
Repeat chorus
Music
Katika vitu katika watu
Ukaniinua nashukuru yesu
Katika vitu katika watu
Nikaheshimiwa nashukuru yesu oooh
Sasa najidaidai (daida)
Nafurahirahi (Rahira)
Ahsante ooh
Sasa najidaidai (daida)
Nafurahirahi (Rahira)
Ooh baba iyeee
Nafurahi leo (Rahira)
Najidai kwa yesu (Daida)
Ninaendelea (daida) aah
Ninashangiliaaa (daida) kwa babaa
Najidaiii(daidai)ninaringa kwa baba (daida)
Nafurahi kwa yawe (daida)uuuu(daida)aa
Jidhihirishe mungu
Acha waone wacha waone utukufu wako wacha waone
Vile wewe ni ngome
ukitamalaki hapa(wacha waone),ukatamalaki bwana(wacha waone) aiyo aiyooo aiyo aiyooo(wacha waone)
Wewe ni ngome
Tukwinoma noma
haha aah