Ushamba Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Ushamba - Harmonize
...
...........
huoni ushamba,huoni(3)
eeeeh huoni ushambaa
pesa ya kulpa gest unayo
nyumbani familia inapiga miayo
mmmh yanafurahisha ufanya
eeeh huoni ushamba
inaboa kudadadeki dereva wa huba hataki kuovateki eti kisa pesa haiongezekii
eeeeh huo ni ushamba
yupo kitandani kajilegeza mi nishajipaka vya kuteleza ety bby leo simba wanacheza
eeeeh huo ni ushamba
hazipandi matirio kutwa una like picha za makalio vya wenzako usijipe matamanio
eeeeh huo ni ushamba
chura wambagala huna pakula pakulala komenti ndefu picha za kajala huo tunaita
eeeeeh huo ni ushamba
huoni ushamba, huoni(3)
malejendi si wamerudisha vita wanahofia ety jeshi anawapita bila sababu wananikunjia ndita
eeeh huoni ushamba
acha niligalagaze hali meno hilo simba zee likila demu lazma litangaze
huo tunaita eeeeh huoni ushamba
hivi dunua ndo iko kikomoee mana hadi waganga wanapiga promo hadi insta wana page za kujigia domo
eeeh huoni ushamba
amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmmh vipi akikupiga kibuti
eeeh huoni ushamba
aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara eeeeh huoni ushamba
huoni ushamba huoni(3)
eeeeh huoni ushamba
kaja na vumbi uso umefubaa anadai kapaka poda kaniomba nauli ya uber yule namwona anapanda bodaa
vitu vingine haviji kwa uongo punguzeni sifa wala sio mchongo demu humjui unampakia mkongoo
eeeeh huoni ushamba
ye ndo kalewa kuliko wote anaimba na kucheza ngoma zote wakati wa kulipa bili sina chochote
eeeeh huoni ushamba
meno yote njee anachekela asante baby nimepokea asa mbona hujatuma na ya kutolea
eeeh huoni ushamba
kumepambazuka alfajiri tupo klabu mwana anasema subiri yani kisa yeye ndo mwenye usafiri
eeeeh huoni ushamba
tunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea mganga unataka wote tuonekane wanga
huo tunaita eeeeh huoni ushamba
huoni ushamba, huoni(3)
eeeeh huoni ushmba
hehehehehehe asa kama kama tumekutana mchana unasema hujala
asubuhi s utaomba mswaki wewe hehehehehe
huoni ushaa huoni (4)
they call me konde boy
number one
jeeshiii