Wote Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Wote - Harmonize
...
cough
oh oh oh oh oh oh
b boy
...
verse 1
mwenzako zikianza story za mapenzi mfano wakwanza Ni wewe Hadi marafiki zangu wananicheka
naukumbuka ushenzi tulofanyaga mi nawe mwenzako mi nakuonea vibwenga
hata wakisema maneno Ni bure maana nyani halionagi kundule
wanachotaka tuachane uzurure watucheke kikowapi
ujana una mengi na mengine na mi nimefanya siwez danganya nishamaliza
kila niliempaga moyo autunze Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza
we unanijali unanivumilia
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
yeah mule kuhan
unanipenda
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
...
mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani
mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani
siwezi peke yangu
...
verse 2
yeah
mama ukiongeza nitajinenepea,
unavyo nigombeza nakuona una care
eti hatujapendeza wanatufokea mi I don't care ndo nishakolea
cough
kipofu nishaona mwezi vurugu vurugu siwezi
leo sinza kesho kinyerezi Mara mbezi
ujana una mengi na mengine na mi nimefanya siwez danganya nishamaliza
kila niliempaga moyo autunze Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza
we unanijali unanivumilia
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
yeah mule kuhan
unanipenda
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
...
I wish I wish I wish
...
mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani
mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani
siwezi peke yangu
...
( written by lodidamisi +255742450366 )