Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2022

Lyrics

Mwaka Wangu - Harmonize

...

Eeh Jeshi, lala lilalala, lalala

Ni mwaka mpya mwaka mpya mambo mapya 

Sina dhambi nimetubu

Na pesa nitazichanga changa

Nizijaze kwa kibubu

Japo hata ka kibanda nikajenge huko pugu

Maana nyumba za kupanga nishazihoka vurugu

Eti kwani wao waweze wana nini?

Mmmh na mimi nishindwe nina nini?

Nishachoka siku zote kuwa wa chini

Wengine wanakula kipupwe maofisini

Mliosema haolewi olewei mbona kaolewa

Mliosema hapewi hapewi mbona amepewa?

Mwaka huu ni wangu, kutimiza ndoto zangu

Nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za Mungu wangu

Dear Lord


Hakuna Mungu kala wewe Baba (Eeh Hakuna)

Kama wewe Yaweh (Eeh hakuna)

Hakuna Mungu kala wewe Baba (Eeh Hakuna)

Kama wewe Yaweh (Eeh hakuna)

Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu

Na wale waliosema mgumba waje kumwona mwanangu

Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni

Wanaokufata wakati wa shjida ili wapate afueni

Niwaonyeshe walonidharau kwamba Mungu anaweza

Nami nipande dau niwasalimi kingereza

When God say YES nobody can say NO

(When God say YES nobody can say NO)

When God say YES nobody can say NO

(When God say YES nobody can say NO)

Mliosema haolewi olewei mbona kaolewa

Mliosema hapewi hapewi mbona amepewa?

Mwaka huu ni wangu, kutimiza ndoto zangu

Nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za Mungu wangu

Dear Lord

Hakuna Mungu kala wewe Baba (Eeh Hakuna)

Kama wewe Yaweh (Eeh hakuna)

Hakuna Mungu kala wewe Baba (Eeh Hakuna)

Kama wewe Yaweh (Eeh hakuna)

Added by

Prince wa kigoma

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status