Deka ft. Mabantu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Deka ft. Mabantu - Harmonize
...
Yayao yao
?
?
Bhakhresa aaaa
Brother acha ujiga
mtoto wa kike sifa yake kulinga
ubahili mwisho ilinga
uoni wakina konde Boy wana bomoka mandinga
ee
kajala One and two
tena zote ni large
mwezetu umetuma kalaki 2
nabado unaulinza change
ety kisa cha kumvimbia ni vipombe
chipsi na vikuku brother ukijiona bondia kazichape na mwakinyo ama kiduku