Loading...

Kushoto Kulia
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Kushoto Kulia - Harmonize
...
kushoto kulia kushoto kulia , jeshiiiiiiii kushoto kulia washa tochi ya simu sa tuone mwana. kushoto kulia kushoto kulia kushoto kulia kapandisha wazimu wanalicheza mwanga. konde boy for everybody, my music is the shake your body eh couse i do this for my people, i wanna hear sing talalala , mafas nyogeza idadi saluti kwa wanangu wa keko sogelea gwalagwala , wasionipenda kaziwanayo mie sipigi genga pesa ni nayo tunatia chenga wanafata nyayo tunapiga denda mnyayo agh wekasha kwa waganganga mwenzako naji changanga nazisanya faranganga ehh nikipata natumia, nanipendaga vichenivisha nganganga na uturi wa danganga hakikisha unanukia.
kushoto kulia kushoto kulia kushoto kulia washa tochi ya simu sa tuone mwanga, kushoto kulia kushoto ku
lia kushoto kulia kapandisha wazimu wanalicheza mwanga, zaminamina eheh eheh waka waka eheh eheh ×2 I say zaminamina eheh waka waka eheh zaminamina eheh waka waka eheh×2, wanaotaka shindana na mimi hawapati ata sare usishangae tatuna vipini mi makonde challi, peace alinileta mjini mondi wa tandale, maneno majungu tupa chini mzikii utawale, kama nyapara kafunguliwa pinguwe kuto kuchana na mwinguwe ameshapanga we nani upanguwe unajitesabure eeh agah we kesha kwa waganganga mwenzako najichanganga nazisanya faranganga eeh nikipata natumia. oyyaa , kushoto kulia kushoto kulia kushoto kulia washa tochi ya simu sa tuone mwanga, kushoto kulia kushoto kulia kushoto kulia kapan disha wazimu wanalicheza mwanga, eeeeeehhhh bonga mwambie chopa moto hauzimwi na moto wewe kulia si tunapita kushoto, je ma machine eeh usicheze na jembe litakulima, were were seven talk that thing ,maniga jorse wa mipango konde gang for (everybody)×2 Remix
Similar Songs
More from Harmonize
Listen to Harmonize Kushoto Kulia MP3 song. Kushoto Kulia song from album Kushoto Kulia is released in 2021. The duration of song is 00:03:15. The song is sung by Harmonize.
Related Tags: Kushoto Kulia, Kushoto Kulia song, Kushoto Kulia MP3 song, Kushoto Kulia MP3, download Kushoto Kulia song, Kushoto Kulia song, Kushoto Kulia Kushoto Kulia song, Kushoto Kulia song by Harmonize, Kushoto Kulia song download, download Kushoto Kulia MP3 song
Comments (19)
New Comments(19)
Robert 5wjj6
Hakeem Lyong2g6y
Issa Allytn93z
Issa Allytn93z
sadamu mtondola
paschala4hez
Stableboi
jay wa mchongoc3kc5
