Hatia Iv (feat. Nasra Sayeed) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Hatia Iv (feat. Nasra Sayeed) - Dizasta Vina
...
"jasili john aliyaangalia maisha yake, hakuona jinsi angeweza kuishi bila jenny, msichana anaempenda
licha ya kuzongwa na umaskini alijitahidi kumpa jenny mahitaji madogo madogo kadri alivyo weza
lkn alifaham shubili ya kusubili kupendwa huku anafahamu kusubili kupendwa ni matumahini yanayo umiza
kama wanavyo sema mtafutaji achoki akichoka kaisha pata alieendelea kungoja...."
ahh
sikua na zari, skuziamini ndumba
skua na mali za kufuja
nilijitahidi kuuza mitumba kufuga mipunga
ili siku nimpe gari nimpe nyumba
nilishindwa niliishia kumpa chai
chpsi mayai na vocha
nywere za kimasai na mkoba
pesa za magauni majuba na viatu vya kuzuga
nilimpa mda ila bado aikutosha kwani..
nilipomwambia nampenda! akujibu
akaweka moyo wangu maumivu
na mtima wangu akauweka solemba
nikaapia kua sitokuja kupenda forever
nilimpa upendo nilimpa sifa
niliweka mitego ya faida aikua (shwari)
nikabadili mwenendo maisha
niliweka malengo skutimiza (akunikubali)
alikua na ndoto kubwa kushinda mimi
alikua na misimamo kuipita dini
aliniambia ameomba nije kuokota utajili
amengoja sana na sasa amechoka kusubili
"John alifahamu hali ya Jenny, kua Jenny alizaliwa kwenye familia maskini na aliuuchukia mno umaskini alifahamu umaskini ulivyo chukua uhai wa mama ake kipenzi aliefariki kwa kukosa matibabu
alifahamu nadhiri aliyoiweka Jenny ya kwamba hato kubali tena kuishi kwenye maisha ya kiumaskini nadhiri iliyomuweka John njia panda"
ahhh
skua na hali ya kuikosha loho yake
nilimuaacha aende aufate moyo wake
alipata bwana wa kizungu mangaribi
alimwaidi kuishi maisha ya ndoto zake
nilipata uchungu niliishia kuhamaki nijiue
nilitaka nimzuuie abaki
nikakumbuka ukipenda ua ulikati unaliaacha likue
duka langu nilifunga bihashara niliacha zote
uchumi uliyumba kwa maana nilianza pombe
niliumwa bado kidogo moyo uzime
nilimfanya ndoto kumbe naye ana ndoto nyingine
alisema anakwenda jiji la miami
akuna alichowaza zaidi ya kuishi kifahali
kamtumia picha mchizi kazikubali
na yuko tayali kumlipia ghalama za safari
aliondoka na kipande kimoja cha mwili
nilikonda nilipata ugonjwa wa akili
aikuwai kupita hata sekunde nisilie
nilitamania mpaka ardhi ipasuke niingie
"Jenny alivoondoka alimuachia John kidonda kilichochelewa sana kupona na yeye akaweka nadhiri yakuto jihusisha na mapenzi tena maishani mwake
alikaa kwa muda mrefu bila mahusiano
lakn akuna daktali mzurii kama muda
John alipona maumivu
na aliiludia hali yake ya kawaida"
ahh
muda ukaenda nikapata mwana mwali
nikamuomba awe mweza wa maisha akakubali
nikamvisha pete nikamlipia mahali
sikumpenda lkn nilijifunza kumjali
aliuliza kama na mpenda nilimjibu
skutaka kweka moyo wake maumivu
skutaka kuweka mtima wake solemba
kiasi aseme hatakuja kupenda forever
alinikumbatia nikamfunga kwa ishara
akanikabidhi tunda nikala
akaniamini tukajuana nikapanga kumuoa
akaidhinisha na tukaanza na mipango ya ndoa
"wakati karne 21 inaingia John alikua ni miongoni mwa vijana waliokua vasineted na ukuhaji wa teknologia ya mitandao ya kijamii
alijiunga na dunia hii mpya
mara kadhaa alikaa kwenye ubaraza akiangaza simu yake akipapasa kila kitufe ndipo sku moja akapata ujumbe kutoka kwa Jenny..."?!
"habari naamini huu bueri wa afya
unaendeleaje maisha na uyo mpenzi wa sasa
nashukulu na hema ughaibuni si kwema
nakiona cha mtema mpka naona ni kheri nikafa
maisha niliyowaza yote ni uongo
nauzishwa madawa nalazimixhwa ngono
nafungiwa ndani kama mtumwa ufungwani
roho yangu rehani kiasi sasa naitamani bongo
ukubwa umekuja umenisafisha jicho
ndoto imeisha na taswila imenionyesha sivyo
naomba unifate uniondoshe kwenye hichi kifo
na hii ni namba ya msamalia atakueleza nilipo".
sherehe ilikua na mipango madhubuti
kabla ya mimi kuchukua michango ya harusi
nikatoroka ughaibuni kufata hisia zangu
kwenda kumfata njiwa wangu mahususi
nilivuka majangwa na majabali
sehemu ya safari anga
sehemu nyingine bahari
niliacha kila kitu nyuma
upendo na huruma vilinijaa penzi likanipeleka mbali
"John alifika ughaibuni akamtafuta msamalia aliyetambulishwa na ujumbe
msamalia alimuelekeza njiwa wake alipo
na nikweli apakua pema"
nikakutana na bopa la kizungu
lenye sura ya kuichachisha mboga kwenye chungu
kiko kwenye mdomo tatoo kila kona na wapambe
pamoja na vishoka wenye mtutu
sio sili alizungukwa na wasicha wengi
skujua umri ila walikua wadogo kama dent
baadhi walikua uchi wanamuhesabia chenji
wengine masaj uku wengine wanamchezea nyeti
"Maskini John alidanganya kwakujitambulisha kama kaka kwa Jenny akimsii yule mafya amluhusu aondoke na Jenny wakaanze maisha mapya
lakin palipo shindwa shoka wembe auwezi tamba
kwa kuzidiwa na uoga wa kuuwawa
Jenny alimkana John kwa kusema AMJUI
hata nilipomuuliza ka na mpenda hakujibu
akaweka moyo wangu maumivu
nilijua awezi kufa kwasababu akunipenda
na rasmi nikapoteza shilingi kwenye msitu
nilikambia kifo kama unakuja njoo
maana skua mtu imeshakufa roho
skuumia kama alivyoniumiza yeye
ko