Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

This song is not currently available in your region.

Lyrics

Almasi (feat. Tk Nendeze) - Dizasta Vina

...

Nilikutana mtaan na mzee mmoja

Tukaketi chini akanipa soga

Mimi sitamsahau

Alisema wangapi walikuwepo namba Moja

Sasa wamerudi chini ni Vioja

Watu wamewasahau


Utavamia kwenye Tamasha la Muziki

Usoni bashasha huku rohoni umekumbata Dhiki

Sanaa imesanda na Sasa tena hauna Kiki

Utaigiza Furaha Kwa kunywa bia za mashabiki

Zitaongea nguo ulizoazima Kwa msela hazitatosha kuficha ukweli kwamba hauna hela

Hautakumbukwa kama mwanzo kipindi unatisha Paparazi hawatakujua Hautapigwa hata Picha

Hakuna ataekuangalia Usoni

Tamasha utaingia kwa iuzidandia Kuponi

Mchumba uliemwaga atang'ang'aniwa kiunoni Utatabasamu huku hasira umeifungia moyoni

Utapotaka kujichanganya utahisi haya

Lips denda zitachakaa kusiz Kaya

Wataskika wadadisi wakiongea Kwa kudisi kamera zote zitamfata msanii uliomu-Inspire

Hayatakuwepo Majumba magari na Mapochi Nene Milo ya Hoteli za kifahari na marosti kede

Zitasahaulika idadi ya tuzo ulizohodhi kwenye majukwaa huku magazeti yakikuposti mbele

Hautatembeza tena Rungu ka Kipepe hautavutia wachuchu mana nyota haina nguvu

Hautafatwa tena na Mashushushu Kwa maseke Utakumbuka ulivozungukwa na grupu la Vicheche

Mchuzi utakauka utapiga hodi ukame hautawekwa kwenye Mabodi ka Van Damme

Hautashawishi magari road yapangane na utakuwa pekeako bila ya Ma-Boardguard nane

Kipindi ambacho Taswira yako ipo gado ndo kipindi Cha kulikata shauri lako kutambua nafasi na thamani ya sauti yako

Kutambua dhamana mwanzoni kabla ya mauti yako

Dhamana yako ni zaidi ya kula na kupiga pamba Kali kununua Chupa na bupa na ukizilaza chali

Jina kubwa likikufumba ushindwe tafakari utakufa Maskini ukizubaa kuzichanga mali

Usije sahau maisha yako Halisi yanayolingana na kipato chako thabiti

Usije kufa kipindi ambacho michango haikidhi haitoshi hata kujenga nyumba ya Mamaako Kibiti

Uko wakati wa kumiliki idhini ya uongo wako

Wenzako wamedondoka

Je.? Utajifunza

Unasifika mjini Kwa wingi wa Longo zako Ukifa Tutasimulia nini watoto wako

Tutasimulia idadi ya totoz ulizonusa.?

Au Gambe idadi ya kopo ulizoruka.?

Idadi ya mahusiano na mioyo uliyoivunja au idadi ya wasichana wadogo Ulowavuruga.?

Najua mwisho mwanang hamna njia Utatokewa na Kila Hadithi unayoiskia (unayoiskia)

Sicho kitu ninachohofia Hofu yangu kama umeiandaa saikolojia

Ukija wakati pazia Halifunguki wadananda waliokudandia hawakukumbuki

Najua itafanya akili ichoke Utapagawa Tafadhari usijegeukia pombe na madawa

Kipandacho hushuka ulishawaza (ulishawaza)

Si miujiza ni asili inayoshangaza (inayoshangaza)

Wasahaulifu wa ulimwengu walitangazwa watatajwa mashujaa na Jina lako halitatajwa

Wanafki walafi na mabishoo zako

Wangapi watakuwepo kiu ikidaka Koo lako

Muda wa kuwasoma wote walioko kando yako

Mana hata pesa haitatibu jeraha la Roho yako

Maagano ya hii Siri yatakuwinda

Vyote walivotabiri vitafika

Maisha ya ndoto yataisha utairudia kawaida utagundua kuwa haukuwa Malaika

Kiasi utaijua dini Utaijua harufu ya Sakafu kwa mana utakuwa chini

Hata maana ya maisha itapotea Sumu, Kisu na vitanzi vitasogea

Sikutushi ila utakufa pekeako Jeneza lako halitabebwa na hao Vicheche wako

Sishangai wenge lako ng'ombe nashangaa unapoyumba kwa kuzidiwa na ukubwa wa pembe lako

Ni Heri kuwa Mwewe

Mana muoga anajali kua Uelelewe

Kundi la watoto nyumbani wanakupenda na wanaota siku Moja waje kuwa kama wewe


.....


..........


(Lyrics by AT Man Don )

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status