A Confession of a Mad Philosopher (feat. Dash) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
A Confession of a Mad Philosopher (feat. Dash) - Dizasta Vina
...
maana ya uhuru huisha baada ya utambuzi
baada ya kutambua kwamba uhuru sio maamuzi
maana kifungu na mipaka vinafanana
Alie kwambia Kuna uhuru utaupata kakudanganya
ipo asili inayofanya mwili wako machine
kufanya ugonjwa uwe jela alafu afya ni jela nyingine
huyu jamaa amemwaga damu awe huru kisha akawe mtumwa kwa mabepari
chagua kufa ukiona waja hawalipi wema
kufa wokovu kilicho kufa hakifi tena
kufa ni uhuru kamili tabu ni ninyi hampo huru uhuru wa kweli ni kaburini
unakubambatia uhuru wa kuambiwa