Nalewa Leo ft. Maua Sama Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nalewa Leo ft. Maua Sama - Stamina Shorwebwenzi
...
tongo record bilnaden
stamina mi mkale
Leo silewi ninakunywa kwa machale
Waite wa masaki
Waite wa tandale
wambie hatulogani maana wote tuna chale
mi nakibunda kwahiyo fresh sina wasi
nasio bili
nalipa mpaka visasi
ukinikuta kaunta kaa mbali we mbwiga
maana hata pombe nalipa kwa namba ya nida