Kasuku Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Kasuku - KO Kenya
...
(Uyee..uyeee oohh)
K.O SULTAN 001
Saa zingine nina njaa,anapewa chakula na Jah anilete..
Vikwazo kwazo balaa..tumia rangi nyekundu,makaa uandike
Natamani singekuwa karatasi tu ata kalamu ungekuwa nayo
Ujaze jaze kote kwenye vinafasi juu, maneno yako yananipa moyo.
Kasuku wangu(eenhe)kasuku(onanaa)
Kasuku wanguuu...Niko hapa shimo nitembeleee
Kasuku wangu (eenhe)(onanaa)kasuku wangu pata mazuri uniletee.
Wee.. kasuku naamini kweli umenitunuku Ila sielewii
Mchana usiku nikikusoma napata kitu Wala siibiwii
Hivi wee ni kitabu cha aina gani Cha kusomea,cha kuandikia unanipa jawabu nikiwa darasani na ukikosa unanitania.
Kufunga na kufumba tuwe pamoja masomo yasije yumba (eenhe)
Naimba nikidunda,ungekuwa mzabibu mtini ningekutunda (eenhe)
Natamanii singekuwa karatasi tu ata kalamu ungekuwa nayo ujaze jaze kote kwenye vinafasi juu maneno yako yananipa moyo
Kasuku wangu (eenhe)kasuku (onanaa)
Kasuku wanguu...Niko hapa shimo unitembelee
Kasuku wangu (eenhe)(onanaa)kasuku wangu pata mazuri uniletee..
Njoo unisalimie usiniache mie
Sitaki niangamie,(eehe)kasuku (eeh)
Chorus:..…..