Chora ft. Femi One Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Chora ft. Femi One - KO Kenya
...
K.O Kenya
Vize vino lino ngoma la mame njontem
....... Usije kwenye shimo penzi letu lizame litablame
Like father like son
Kuzubaa msijali kwetu 001
(oh na na na)
Kipi hakiwezekani
Niko ready nikope pikipiki kwa jirani
Na huku kwenu marekani kuna mabishoo
Maana kila mwanadada ananichekea
If they dont understand they never know
Wasije wakakerewa tunachoongea
Baby girl live and die you me Afrika
Jirembeshe jidai na kadhalika
Ukimwona masai kurukaruka,usishangae
Zoea
Mahaba ya kimombo,mtoto we ni chombo
Bingiri bingiri jikunje kama kamongo
Ebu lifunge fundo, nilifumbe fumbo
Mabukiji,mabumbumbu koleza midundo
nyundo
Chora jina langu jimbi (Chora)
Hebu liandike moyoni (Chora)
Tena ugamishe na gundi (chora)
Usiku niote ndoto (Chora) ×2
....................................
F͟E͟M͟I͟ O͟N͟E͟
Niko pwani ndio maana penzi limefua dafu
Busu mia moja kwa lips na shavu
Mapenzi yamenipiga KO but its ok
Its okay juu naskia raha tu
Nakufeel vile we hunifeel I say
Hii chemistry ni real na sio the same
Hata after hizi doh makiki na fame
Jua mapenzi yangu kwako bado kem kem
East to coast na mahaba ni ya 01
Femi One ndio main hakuna another one
Abadan fore sitakusare
White dress kando ya beach tukimarry
Na ukipiga magoti nitasema i do
Pale caption insta story my boo
Hii ni one love baby hakuna ma part two
Jina yako nimechora kwa roho kitattoo
C͟h͟o͟r͟u͟s͟
C͟h͟o͟r͟a͟ j͟i͟n͟a͟ l͟a͟n͟g͟u͟ j͟i͟b͟i͟ (c͟h͟o͟r͟a͟ )
Hebu liandike moyoni (chora)
Tena ugamishe na gundi (chora)
Usiku niote ndotoni (chora) ×2
....................................................................................
................................
Mahaba ya kimombo,mtoto we ni chombo
Bingiri bingiri jikunje kama kamongo
Ebu lifunge fundo,nilifumbe fumbo
Mabukinji,mabumbumbu koleza midundo
Nyundo
Chora jina langu jibi (chora)
Hebu liandike moyoni (chora)
Tena ugamishe na gundi (chora)
Usiku niote ndotoni (chora) ×2
............. ................................................ ................