Bado ft. Kaa La Moto Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Bado ft. Kaa La Moto - <font color='#0052ff'>KO</font> <font color='#0052ff'>Kenya</font>
...
zile issue na kuimba imba
kwote maredio na runinga
nikaonekana kuwa bingwa ila wapi badoooo(mmmmh)
nikashauriwa kwenda pemba
umezima moto kwenye kinga
yote kwa kufunga na kuomba ila wapi badoooo (mmmmmh)
maneno ya kukatisha tama kwote navumaa ila nalala njaa
kasuku anatumwa niger leo yuko wapi
ama ukue super star
uwepo walo nishika mkono gavana joho kaka yangu kipenzi gezi kasusumila
maneno na mingongono kazeni roho
msijali kwenye mziki kunamadhilaaa
naa naaajua utanitoa kwenye zege utanipandisha ndegee maishaa ni hatuaaaa