Wote Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Wote - KO Kenya
...
ko.
sultan.....001
hello maaa
vipi habari za ghetto nyumbani kikambala
tunapambana mambo ni shwari kipato kulala kula hewala
huku mapokezi yamekua kabambe
nimechovya asali chanda nilambe
wamenishauri nisijigambe na niwe na nidhamu nitasonga
mwanangu wa bodaboda wamenipa majina jimbi na kimoda kama nare
mziki umenoga ila nisiwe pimbi shule nikamwaga mchangaeee
huku ni rRoma nchi ya ugenini ila sio taa ya kuigizaaa
navyovyona vingine hata syamini
vibaya vya kuuliza
naziko Roma ndo mbegu kaibunibu
kwatage haiweza
vitendawili chereko hadithi zako
huoni kuna mengi nimeyameza
wote wote
waambie ndugu zangu nimewatamani
wote wote
wasalimie waambie nitakuja nyumbani
wote wote
nitaleta zawadi mdogo ashangaze tuisherehekee
nitakajihadi ila nachapa kazi ndo niwaletee iyee
sijasahau maneno kunipa moyo
ulo niambia kila asubuhi
kwa kunipa mifano niuepuke uchoyo
nikaogopa tabia ambavyo sijui
wadogo zangu wachunge wasifuate mabinti wakiwazingua
kamwe wasijifunge kisa nipo jijini nimetusua
bado nahustle saka saka
nilichukalijasho waka waka
shida na manyanyaso (eeeh)
hivyo piga magoti uniombee
manaaa
hukuu ni Roma nchi ya ugenini ila siyo taa ya kuigiza
navyovyona vingine hata siyaamini
vibaya vya kuuliza
naziko Roma ndo mbegu kaibunibu
kwatage haiwezi
vitendawili chereko hadithi zangu
huoni kuna mengi nimeyapeza
wote wote
wapi salamu zangu ila nawapenda saana
wote wote
kakangu na kakangu oooh wajichungee sana
wote wotee
oyeyeyeye kutwa napambana
wote wote
kitakajihadi ila nachapa kazi ndo niwalete