Waonyeshe ft. Ssaru Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Waonyeshe ft. Ssaru - KO Kenya
...
ko ft ssaru
lyrics by Yoshi Tamashiro
Yaani mimi nilikuja kama Angel
kuokota moyo wako uliozama kwenye pendo
na ulivyo mwepesi wa kupenda usojua kulaghai kudanganya
Pete nkakivika chanda tutaishi hata kwa chai biringanya
usojua kugawa uroda
usiniache yatima iyeh
moyo wangu mimi utajawa uoga
shepu pona milima iyeh
ngozi yake nzuri isojua poda,maneno yao ya fitina iyeh
usiya sikilize utanikoroga,trust you me
sip maneno ya kanga ama mwingi usanii
nimeacha vimbwanga moyo wangu utalii
sementi nawe uwe mchanga changanya bebi
Whatsapp na Insta nikuweke dp
waonyeshe
penzi lete liweke hadharani
waonyeshe
mi nawe tunaendana mwandani
waonyeshe
penzi twanata nata
waonyeshe
umenigusa
SSARU
ona vile napata burudan
na nitakufana utulie nami maishan
sidhan
kama kuna watu fulani
watatuzuia kufunga ndoa kanisani
mi nataka nikuambie
napenda sauti yako
na nataka uniimbie
we wacha mi nnikwambie
vijimambo vingi naweata usinikimbie
kama mi ndo bebi usiogope nikaripie
mabega na begi mi wako nikaribie
Anapata vitam
mtoto akona nidham
na vituko vituko vinafanya
nipate ham
nabembelezwa
sipo kuchezwa
penzi onfire utadhani linateketezwa
ndo nachombezwa
Leo nimewezwa
yaani napwaya huku ndani nimelegezwa
dawa ya maumivu yangu niwewe
nachotaka uwe wangu
waonyeshe
oh waonyeshe mama oh
waonyeshe
minakupenda sana
waonyeshe
mimi na wewe hadi milele oh mama wewe
waonyeshe