Dozi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Dozi - Nandy
...
African Princess
Yaani tushawaroga waloshika Manyanga
si walipaka powder na chale wakachanja
na kwenye virege udaku kama doti ya kanga
nawatupa kwenye uchafu kama ganda la karanga
oooh ya eeh! imegeuka shillingi wanalia
wameyamwaga
walidhani magimbi kumbe beer
wameya vaa'ga
tuwapaka wino , machino
wenyewe wamechimba shimo
moja jino kwa kisigino wanaunga tena nawazidi kimo
oooh yaah , hatucheki na dance
ni mwendo wa dozi
kama wagonjwa nawapa ulezi
oooh yaah, hatuwabembelezi
nikimeki navimba kibaria
kamba kwa buti nakazia
wakipiga kunuti napangua
kukubwa wa show wanapaliwa
naitekenya keke, wakipangua cheche
miluzi makeke, mteja na keke
Saluti! kuruti! katikenyaga cheka kanyuti
Bunduki! Baruti! utapepea ka Parachuti
tuwapaka wino , machino
wenyewe wamechimba shimo
moja jino kwa kisigino wanaunga tena nawazidi kimo
oooh yaah , hatucheki na dance
ni mwendo wa dozi
kama wagonjwa nawapa ulezi
oooh yaah, hatuwabembelezi
!!!!!!!!