Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2020

Lyrics

Do Me ft. Billnass. - Nandy

...

Chocolate kalambaje?


Na hata sielewi kanipata pata


Kwani kanipata aje


Ameniweza weza nimenata nata


Kwa penzi nakupenda


Na nashindwa kukukata


Ndo ujinga huo


Umeniweza weza


Umenipa limbwata


Ndo nini hivyo


Ukinipata penzi basi zima data


Ndo chips hizo


Na vinyama nyama pilipili washa


Ndo tamu hivo


Baby walahi


Do me, do me, do me


Do me, do me, do me


Naandaa kiberiti niwashe moto


Baba leta ukuni


Do me, do me, do me (Do me aii)


Do me, do me, do me (Do me aii)


Naandaa kiberiti niwashe moto


Baba leta ukuni


Nafikiri uliumbwa


Kwa ajili yangu mahususi Na kila Nikikutazama


Nafaa nifikirie harusi


Nafiki kutumia shela Nafikiri kuhusu suti


Sifikirii kutumia kinga


Hata waseme una virusi


Viuno vingi kama Christian Bella Peace ya msela African princess na ndela Hata warika na mapunga waje kula


mchele


Si wanatoa siri za nyuma twawapa siti


za mbele


Mapigo mama yanakwenda mbio Nisamehe kama napokwenda sio Mapigo mama yanakwenda mbio Nisamehe kama napokwenda sio


zile kata, kata ukapinda mgongo


Uliposema tangu ukawachanganya


wabongo


Vile sikupakii mkenya wala sikupakii mcongo Labda arushe matofali maana nishazoea udongo


Do me, do me, do me (Do me aii)


Do me, do me, do me (Do me aii)


Naandaa kiberiti niwashe moto


Baba leta ukuni Do me, do me, do me (Do me aii) Do me, do me, do me (Do me aii)


Naandaa kiberiti niwashe moto


Baba leta ukuni

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status