Napona ft. Oxlade Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Napona ft. Oxlade - Nandy
...
napona napona napoona*3
kimambo on the beat
yananitoka macho nikikuona kwa mbali
nakosa usingiziii usipokuepo silali
nafata ulichonacho sijafata salary
uutanifanya chiizi kama utakwenda mbali
it’s you i have in my heart
i don’t look for passenger
only u and u ryt now nibebe kwenye tenga
mana mapenzi yako yananelemea
ulipoishia jana ndo endelea
penzi limesimama we kidedea
mpaka raaaha unavonigea
mana napokuona ww
napona napona naponaaa
nikipata penzi lako ww
napona napona naponaa*2