Nisimamishe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nisimamishe - John Lisu
...
Yesuuuu umejivika akilii na heshima
aaaa pumzi ya uhai wako ni
uponyaaajiii kwa mataifa yotee*2
Nisimamishe katika mlima wa utukufu wako, (heee nikuonee weewee)
nikuonee ( bwana wangu)ukipanda na kushuka
( heee yesu nisimamishee)
nisimamishe katika mlima wa utukufu wako (hooo nikuonee wewe) nikuonee ukipanda na kushukaaa, Siku zote za maisha yanguuu ( nikuoonee weewee)
Acha harufu yako ieneee kwa mataifa yote tuone uzuri wako bwanaaa patakatifu pakoo*2
Nisimamishee katika mlima was utukufu wako...............