Nisimamishe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nisimamishe - John Lisu
...
John Lisu-Nisimamishe
Yesu umetukuka haakiii
na heshima na pumzi ya uhai wako ni uponyajiiii
kwa mataifa yotee yesuu umejivika haakiii
na heshimaaa pumzi ya uhai wako ni uponyaji
kwa mataifa yoteeee
Nisimamishe katika mlima wa utukufu wako(Eeehh nikuone weweee),
nikuoone ukipanda na kushukaaa(yyeee yesu nisimamishe)
Nisimamishe katika mlima wa utukufu wako(hoohohoooo nikuone weweeeeee)
nikuone ukipanda na kushukaaaa
sikuzooote za maiiisha yanguuuu(nikuoone wewe)
siku zote za maisha yanguuu(hohohoooooo)
Achaaa harufu yakooo iieneeheee
kwa mataifaa yoteee tuoone uzuri wako bwanaaa patakatifu pakoo achaa harufu yako ieneee kwa mataifaa yotee tuuone uzuri wako bwaaanaaaaa patakatifuu pakooooo
Nisimamishe katika mlima wa utukufu wakoooo(oohh nikuone weweeee)
nikuooone ukipanda na kushukaaa×2
siku zoote za maisha yanguuuu(katika safari yangu nikuone weweee)
siku zoteee za maiiisha yanguu..