Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2020

Lyrics

Upendo - John Lisu

...

Je ni nani atakayenitenga

na upendo wako

eeeh eh Yesu

je ni nani atakayenitenga

na upendo wako

eeh eeh Yesu

aaah hakuna cha kunitenga na upendo wako Yesu

aaah hakuna cha kunitenga na upendo wako Yesu

aah hakuna cha kunitenga na upendo wako Yesu

wala wenye mamlaka

wala wenye vyeo

ooo- hawatanitenga

wala wenye mamlaka

wala wenye vyeo

ooh -hawatanitenga

wala yaliyo juu wala yaliyo chini

hayanitenga na upendo wako

wala yaliko wala yatakayo kuja

hayanitenga na upendo wako Yesu

wala hakuna aaah cha kunitenga

na upendo wako eeh eh Yesu

wala hakuna cha kunitenga

na upendo wako eeh eh Yesu

upendo upendo oo Yesu ninakupenda aaah

sinaye mwingine eeeh zaidi yako

upendo upendo oo Yesu ninakupenda aaah

sinaye mwingine eeeh zaidi yako

kule kuwa kama Mungu uliona

si kitu cha kushikamana nacho

bali ulinyenyekea aaah hata mauti

kwa upendo wako Yesu

ukashuka kwetu

ulidharauliwa na kuteswa kwa ajili yetu

upendo upendo oo Yesu ninakupenda aah

sinaye mwingine eeh zaidi yako

upendo upendo oo Yesu ninakupenda aah sinaye mwingine eeh zaidi yako

Hallelujah

...

nitakuwa wako sitatoka kwako

nitakaa nyumbani mwako

siku zote za maisha yangu eeh

nitakuwa wako sitatoka kwako

nitakaa nyumbani mwako

siku zote za maisha yangu

siku zote siku zote

siku zote za maisha yangu eeh

nitafakari hekaluni mwako

siku zote za maisha yangu

nitazame uzuri wako Yesu

siku zote za maisha yangu eeh

siku zote siku zote

siku zote za maisha yangu eeh

siku zote siku zote

siku zote za maisha yangu eeh

....

nitakuwa wako sitatoka kwako

nitakaa nyumbani mwako

siku zote za maisha yangu eeh

nitakuwa wako sitatoka kwako

nitakaa nyumbani mwako

siku zote za maisha yangu

siku zote siku zote

siku zote za maisha yangu eeh

nitafakari hekaluni mwako Yesu

siku zote za maisha yangu

nitazame uzuri wako Baba

siku zote za maisha yangu eeh

siku zote siku zote

siku zote za maisha yangu eeh

siku zote siku zote

siku zote za maisha yangu eeh

Hallelujah eeeh

piga kelele

cheza

....

anatawala Yesu anatawala Yesu

anatawala Yesu anatawala Yesu

hakuna kama yeye

hakuna kama yeye

hakuna kama yeye

ndiye mwokozi was ulimwengu Yesu

hakuna kama yeye

ni Bwana wa mabwana

hakuna kama yeye

hakuna kama yeye

hakuna kama yeye

hakuna kama Yesu eeh

hakuna kama yeye

ni mwokozi wa ulimwengu Yesu

hakuna kama yeye

Yesu ndiye Bwana jana leo hata milele

Yesu ndiye Bwana jana leo hata milele

Yesu ndiye Bwana jana leo hata milele

Yesu ndiye Bwana jana leo hata milele

Yesu ndiye Bwana jana leo hata milele

Yesu ndiye Bwana jana leo hata milele

Hallelujah eeeh

Ruka juu

ruka juu watu wote

Alipo Yesu mambo yote yanawezekana Amen

Alipo Yesu mambo yote yanawezekana Amen

Alipo Yahweh mambo yote yanawezekana Amen

alipo Baba mambo yote yanawezekana Amen

hakuna jambo lisilowezekana kwake Yesu

hakuna jambo lisilowezekana kwake Yesu

anaweza yote

anaweza yote Yesu

anaweza yote

anaweza yote Yesu

anaponya magonjwa

anaponya magonjwa Yesu

Alipo Yesu mambo yote yanawezekana Amen

Alipo Yesu mambo yote yanawezekana

Amen

Alipo Yahweh mambo yote yanawezekana Amen

alipo Baba mambo yote yanawezekana Amen

hakuna jambo lisilowezekana kwake Yesu

hakuna jambo lisilowezekana kwake Yesu

anaweza yote

anaweza yote Yesu

anaweza yote

anaweza yote Yesu

Hallelujah

cheza

shangwe na vigelegele kwa Yesu

.....

mataifa yote acha sifa za Bwana zitingize dunia

washa moto wa roho acha sifa Bwana zitingize dunia

anastahili sifa eeh

anastahili sifa eeh

anastahili sifa eeh

anastahili sifa eeh

mataifa yote acha sifa za Bwana zitingize dunia

washa moto wa roho acha sifa Bwana zitingize dunia

anastahili sifa eeh

anastahili sifa eeh

anastahili sifa eeh

anastahili sifa eeh

Hallelujah eeh

piga kelele

piga kelele

Hallelujah hallelujah hallelujah

zunguka zunguka

....

ruka juu ruka juu ruka juu ruka juu

ruka juu ruka juu ruka juu ruka juu

ruka juu kwa Yesu

ruka juu ruka juu ruka juu kwa Yesu

ruka juu ruka Juu ruka juu

Hallelujah


hakuna eeh hakuna eeh hakuna kama yeye

hakuna eeh hakuna eeh hakuna kama yeye

hakuna kama Yesu eeh

hakuna kama Yesu

hakuna kama Yesu

hakuna kama Yesu

hakuna hakuna hakuna

hakuna kama Yesu

hakuna hakuna hakuna

hakuna kama Yesu

hakuna kama Yesu eeh

hakuna kama Yesu

hakuna kama Yesu eeh

hakuna kama Yesu

Hallelujah

Africa nzima hakuna aliye kama Yesu

piga kelele kwa Yesu


vigelegele kwa Yesu

Hallelujah

mbarikiwe sana na Bwana

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status