Uko Juu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Uko Juu - John Lisu
...
wewe ni Mungu ..
umetukuka
ulilipa gharama
ya uhuru wangu pale msalabani
kiganjani mwako yamo mataifa
imeinuliwa juu ya mashujaa na wafalme..
wewe uko juu zaidi ya vyote ulivyo viumba uko juu zaidi ya mbingu uko juu zaidi ya ndoto uko juu...
twakwabudu twakupenda,
bwana ,
kuupokea utajiri na nguvu, mtakatifu ni wewe bwana..×2
....
haleluya, haleluya
wastahili bwana kuupokea utajiri na nguvu, mtakatifu ni wewe bwana×2
umeinuliwa juu ya mashujaa na wafalme×2...