Fungua Macho Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Fungua Macho - John Lisu
...
Mtakatifu
ndiwe Mungu
Jina lakooo
Nitakatifuu
Na roho yanguuu itaziimba sifaaa
Zako bwana
Kwa neema yako (neema yako)
Mi naishii
(Na wokovu wangu)
Na wakovu wangu , ni wewe, ni wewe
(Yesu)
Yesu
(Ulieibeba dhambi)
Ulieibeba dhambi ukatupa maisha mapya
(Kupitiaaaa )
Kupitia msalaba, (tumerejeshwa) x2
tumerejeshwaaa
Ndani ya nuru yako
Fungua macho yangu nione
Utukufu wako bwana
Fungua macho yangu nione
Ajabu za jina lako
Ohoo!