Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2019

This song is not currently available in your region.

Lyrics

Nagusa Gusa Remix ft. Mr Blue - Nandy

...

Nagusa gusa kama mbwa navyonusanusa

Navyoupiga nje kama umenipa ruksa

Najiona filauni na nashindana na musa gusa

Mademu kila maala kila debe najirusha

Kama ungekua daladala basi tayari umenishusha

Navyobana kona kama kete na busha

Mademu wengine wako tanga watoto wawili arusha

Kila kitu unacho pembeni nachepuka

Kama mapenzi ni macho basi yangu yamepofuka

Najua umenichoka ila tu unanivumilia

Machozi yanatoka na unacheka baada ya kulia

Baby yooh nataka uwe nami

Baby yooh for you am loosing control

Baby yooh nataka uwe nami

A e ooh nayeya

Baby yooh nataka uwe nami

Baby yooh for you am loosing control

Baby yooh nataka uwe nami

A e ooh nayeya

Lakini bado ( nagusa gusa)

Bado (nagusa gusa)

Lakini bado (nagusa gusa)

Yeyee (nagusa nagusa eeh)

Lakini bado ( nagusa gusa)

Bado (nagusa gusa)

Lakini bado (nagusa gusa)

Yeyee (nagusa nagusa eeh)

Amenifaa ameniipa mimi faida

Kwenye penzi lake sijakwiba

Siitaji mwengine wakunipa tiba

Bado sijamuona mwingine ataenifaa

Baby can say am nothing to you

But you know i like to is just for you

Wanijua nakujua wewe

Wanijua nakujua wewe wewe baby

Baby yooh nataka uwe nami

Baby yooh for you am loosing control

Baby yooh nataka uwe nami

A e ooh nayeya

Baby yooh nataka uwe nami

Baby yooh for you am loosing control

Baby yooh nataka uwe nami

A e ooh nayeya

Lakini bado ( nagusa gusa)

Bado (nagusa gusa)

Lakini bado (nagusa gusa)

Yeyee (nagusa nagusa eeh)

Lakini bado ( nagusa gusa)

Bado (nagusa gusa)

Lakini bado (nagusa gusa)

Yeyee (nagusa nagusa eeh)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status