Jana Na Leo ft. Young Killer Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2016
Lyrics
Jana Na Leo ft. Young Killer - Stamina (TZ)
...
Sio kila young ni killer uwezo utajieleza na sio kila sharobaro imeandikwa atafia muheza
Vaa pendeza nenda disco cheza ila mwisho utambue mkufu hausimami hata ulishwe pweza
Nipe kipaza msodoki kama unaitaka shuhuli
Nilikotoka hakuna noti vipi nisote na sifuli
Lock nyeti zako kwa kufuli, acha kiburi
We demu unaelia huku unaikoki pisto ya duli
Naweza kubuni au kucopy na kupaste
Mi muhuni ambae toka vidudu nalala guest
Usijalibu ku taste kwa mwanza ukinitoa mimi na fid kadgo ndio rapper best
Hama kambi shoga mAana unanishangaza
Kwako inanoga ila sisi jakaya kakataza
Mombasa wanakuwaza, amini brother
Kama pesa mawe jiji tajiri lingekuwa ni mwanza
Wanangaa eti wapi natoa ryhmes
Huu ndio muda wa masela sina maana startimes ee
Mi ni mshamba wa mwanzamwanza kwenye pori
Ila demu wako anipe namba atakusimulia magoli