Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2017

Lyrics

Wamechokoza Kubaya ft. Tannah, Chemical, Coyo A.B.A & Nacha - Stamina (TZ)

...

killy killy

.......

wamechokoza pabayaa

aaah

Bea


TANAH

Mimi sio God's ,Wala sio Devo's milele ntabaki

mi sina time ya kuigiza, skiza

hata kwenye mwanga Kuna Giza,

nachomoka gizani Leo tannah wananiita fiva,

na kama wyne why humu ndani kumenoga

naandika verse imeponda utazani inacheza yoga

yana bum mpaka boda, humu wamedoda


nnapotoka hapafai mana ni mganga kalogwa


eiyoo baba,bado ninachana na ma papa


Saka, Kila nnachofanya unanifuata, fuata,


ninawapa Kila wanacho taka taka

na hizi taka taka Nazi kata kata


hapo mwanzo anacheza mchezo hatari,ukiniona jua umepata habari,nikikuona maisha Yako ni kamari,na Hali Yako haiendani na

Kuna ,*******,,,??!



Cha juu sio Cha chini mnao watuma kuntumiza, nishawatuliza mimii,*(tichaa)

wambie hao walimu Wana hangover nawalisha sumu wale ndimu za kifaya*(fayaa)

wabayaa ,(baaya) sio wabaaya(baaya)niite fayaa ,eeh

baaya (baaya) ni wa baaya sio wabaaya

niite mbayaa


ukimya na hauna hasara na usiichekee kima hii biashara,

amka wewe hata kama junior kalala sio lazima uelewe uwe mbele ya muda twende sawa na ndo ukweli wenyewe

wasihusishe kuota mabawa,

mkali ni mkali, kama ilivyo kwa utamu ni utamu, japo ipo tofauti kati ya sukari na asali,

hawakua na habari na enjoy vile msodoki anamjoki baba tamaa,


asa natuma hii taarifa mkamwambie ambaruti,

me nshakula tigo adi kwenye kitamo Cha bunduki,

ee bwana pole pole, nlokupea mautundu,

mnaiga kunya kwa tembo, asa ngoja mchanike,

wanaumee, (eee,)

naomba niwaulizeni mtu akifa kifo Cha Mende,

ivi kweli atanda peponi.

ebu waambie hii taarifa wakaitangaze kwa runinga,

dada alie gongwa na gari naskia amepata mimba


mtaani waniita kichwaa

Cha juu sio Cha chi mlowatuma kuntumiza nishawatuliza Mimi,

(teachaaa)

mwalimu wa walimu Wana hangover nawalisha sumu wale ndimu za kifaya(faaya)

niite mbayaa(baaya)sio baaya, (baaya) niite fayaa eeh.

mbayaa(baaya) niite faaya(faaya)sio wabaaya(baaya), niite fayaaaa .eeh.


STAMINA.

Wana niita toka force ila cross huwa ya dongo nishashinda kila mechi hata beki mumtoe ndondo.

nimeota Ronaldo,eti kaja bongo kuniona man u nikicheza na manifongo,

sawa Hu, ukipagawa utachanganya rangi,

mana mpaka Steven siga anakula bangi.

kwenye msafara wa mamba tunanavuka mpaka kenge,

wenye maneno ya kanga mzee ni maulidi kitenge,

marapa wengi hawaniitagi kwa kolabo,

mana nkifika studio verse zangu wanapiga chabo,

usishtuke ,kolabo hii nmeifunima Mimi ,

sa cjui anaefuata maskini ataimba nini,



ROMA

Ayo napenda kula tigo,mpaka na Voda bwana ,

kisimu changu laini mbili kinanisave bwana,

ndani joto,aisee ni hatari, acheni kunchekesha Kenya kunajua Kali,

habari ni kua nacha nabeo naona watoto wamekutana na beseni wanaogelea

mi ni mwenye nyumbaa,

mana mungu ndo mpangaji ,unaona wenzako wananyolewa na zako tia maji,

kwenye kolabo huwa sichanganywi na wanangu

Yani ni mafuta nimechanganywa na maji nmekaa kivyangu,.


mtaani waniita kichwaa

Cha juu sio Cha chini mnao watuma kuntumiza nishawatuliza Mimi,

(teachaaa )

mwalimu wa walimu Wana hangover nawalisha sumu wale ndimu za kifaya (faaya) niite fayaa (faaya)sio wabaaya (baaya)niite fayaa. eeh,

baaya (baaya) sio wa baaya (baaya)niite fayaaaa eeh.

..................................................................

More Lyrics from Stamina Shorwebwenzi Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status