Huko Kwenu Vipi ft. Nay Wa Mitego Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2014
Lyrics
Huko Kwenu Vipi ft. Nay Wa Mitego - Stamina (TZ)
...
oyaaa ukiwa tayari nambiee,
Aya ushaambuwa tayar unataka kufanya nni
the true boys ahead
shorobwenz
is 966 baiby
mziki wenu wa ndani ya Dona unafanya ata mshindwe kufkiri
kutwa kwenye vioo kuliko ata kuandika mashairi
hip-hop n mizuka ya kukujuza usivyo jua
ivi mziki wenu unanuka ,mbna mnabana pua!??
swali lako kwangu Alina jibu ulicho uliza,akili SEMA kama unanijaribu au dogo unafosi bifuu,
apa kwangu pakavu sitaki upuuzi,
maswali ya kubana pua na poda muulize dimpoz,
aaa
Amna Cha maana kutwa kuimbia wasichana
unakuta libaba lizima eti ooh linakula ujana
haziingii akilinii na hazi elimishi jamii
Sasa nimjue ya nini alie mwaga pombe ya naniie
professor jay bwana mdogo siunamjua??
hata baba ako nyumbani naimani anamtambua
Kwa nyimbo za kwaelimisha we pimbii kaa kimya
???? imetoboa alichenchi mtu mzima
*kwani hukoo kwenu vipi??
AA HUKU KWETU FRESHI, TUNAMAJUMBA TUNA GARI TUNA GESI.
KWANI HUKO KWENU VIPII
huku kwetu poa,
machizi mnachana sana ila mnabebwa Hadi mna boa
kwani HUKO KWENU VIPII ??!
HUKU KWETU FRESHI,
KWANI HUKO KWENU VIPII
AA HUKU KWETU SAFII
HUKO KWENU VIPII
HUKU KWETU FRESH, HARAKAT ZINAENDELEA KWETU FRESHI SIO KESI
Mnajifanya mnafanya ngumu wakati hamna majukumu,
wengi wenu Wala ndum** na Bado mnaishi kwenu,
usibishane na mmi kwanza we Bado unasoma
show zenu bei raisi hata kwa bia nyie mnafanya,
hip-hop !!!!
inahitaji vichwa, sio kunywa mchuzi wa pweza braza
huku kwetu ulifichwa umesepa sababu ya kumezwa
ama kweli nimeamini wanawake mkiwezeshwa mnaweza
kama umenishindwa Mimi ,je FID Q utamuweza???
kwanza hamtambui kwamba huu mziki ni kazi,
na ndo mana mnakatazwa na wazazii
unafanya mziki miaka kumi hauna hata bajaji
we sio msanii , ni msindikizaji,
huku kwenu mnajua waganga sababu mnapeana stress
ndo mana adi nyimbo vamba mitaani zinakua the Best
braza ushaachia siti ,so punguza kujisifu,
huku viumbe tunaachia hits bila ata kumtaja chifu