Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2012

Lyrics

Alisema ft. Jux - Stamina (TZ)

...

Stamina...

Naam..

Njoo...

Unaskia mwanangu stamina uzingatie elimu...

It’s Moro town babe..

You know what kelvin this is so conscious man.

(aah)Sio kila mchaga muuza duka so nisogope kuitwa mangi kupanda nakushka ndo chat isiyo hitaji rangi bora kuitwa mshamba kwny group la matapeli subir ikikosa kamba jipange kuivuta heri alisema usilete uchiz mbele ya daktari wakili nisiwe na hasira za mkizi ili mvuvi anifanye dili kukosa na kupata ndo mechi isiyokua na droo kama maisha ni karata mchangaji ni mkabe koo (ooh) madawa ya kulevya niogope yatanipa uchizi maishani nisiwe dereva kwnye basi la wazinzi kengeza ndo macho yangu nisimcheke mwenye chongo nipendezeshe maisha yangu ka dressing table ya mkongo usile ada kisa demu mapenzi hayana mradi maisha ni ps game hayachezeki bila pad elimu ya mtaani niiujue nikuze ukoo ila elimu ya darasani nisihitimu bila ya joho alisema.

Nifanye nachofanya wala mimi nsizubae uwezo nnao (alisema)maneno yakisemwa wala mimi nsishangae niachane nayo (alisema) ubinadamu kazi (alisema) nsiwe naharaka na maisha (alisema) nisichague kazii (alisema) nakumbuka iiiyee.

Usione siupi tenda ugumu wakat moyon nausharo ugangstar sio kuvuta ndumu nijpange ntafute mibalo kama pesa hazilali mtaftaji nsichonge kitanda asali ikiwa juu ya dali mlinaji nsichome kibanda alisema mjini mipango sio urefu wa maghorofa samaki akiliwa na chambo jua mvuvi ameshaanza ulofa nsinywe gongo na biscuit ukadhan ndo janja teja nkaze buti ili nijiboost wapinzani wasiniteki nega kama muda ni pesa nifungue akaunt ya saa usiseme boom linatesa uku principal anashnda baa maisha tu hela za kanumba nisiogope kufa kiuongo mimba ya mjinga haina mkunga ntafute ujanja kwa somo nisimdharau fukara kisa nmemzidi kipato mtoto nsimfanyie tohara akikua aniite pilato fisadi akiwa jogoo tetea nitafte kambi (heeyii) muziki unakwashakoo nsiache kumiliki kitambi alisema.

Nifanye nachofanya wala mimi nsizubae uwezo nnao (alisema)maneno yakisemwa wala mimi nsishangae niachane nayo (alisema) ubinadamu kazi (alisema) nsiwe naharaka na maisha (alisema) nisichague kazii (alisema) nakumbuka iiiyee.

Usishangae kukuta mwanga kwenye chumba cha mamodo ila nshangae kuziona shanga kwny kiuno cha mtoto mdogo kipomo cha utapeli hakipimw na mzani wa ubongo usibishane na ukweli ukiwa na chembe za uongo mfupi ndo aliegundua ngaz ilimradi apate virefu nisimtukane mzazi ntapata radhi ya ukosefu selemala rudi veta mende akiangusha kabati daudi akipigwa ngeta nijue kesi kwa goliathi primary na shule ya msingi zinautofauti wa kimaslahi ilibidi nione vifo vingi ili nijue thaman ya uhai nguvu za uongo wa video zisinipotezee ujana usijiite jembe huku kimeo wakati pabichi inakwama nkikosa fasta nitubu masizi yasigeuke kiwi nsiogope kuitwa bubu kwny kundi la viziwi nisifoc penz kwa changu nibora nikatumia detto Moro ndo mkoa wangu nkikana wataniita Petro alisema.

Nifanye nachofanya wala mimi nsizubae uwezo nnao (alisema)maneno yakisemwa wala mimi nsishangae niachane nayo (alisema) ubinadamu kazi (alisema) nsiwe naharaka na maisha (alisema) nisichague kazii (alisema) nakumbuka iiiyee..

Uwezo nnaooo(alisema),,niachane naooo(alisema)

Kama mungu alitoa tusishangae anavotwaa amini kila binadamu alizaliwa shujaa,,

So this one is dedicated to all who lost their beloved ones...

More Lyrics from Stamina Shorwebwenzi Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status