Maumivu Ft.Bob Junior Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Maumivu Ft.Bob Junior - Roma Mkatoliki
...
moyo una moyo una moyo una unauma
moyo una moyo una moyo una unauma
maumivu maumivu maumivu maumivuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuuu
bado kuleta masheikh waweke ubani na udi
tupige matarumbeta na vinanda na vinubi
nilidhani amechezwa ngoma nikijua ni mzaramo
kumbe mtoto wa kichaga ama kweli yaliyomo yamo
maumivuuu
kama kitanzi shingoni, umeondoka ndo naiona thamanii
nimenyang'anywa tonge mdomoni kesho nitakuwa mgeni wa naniiiiii
kumbe we ndo ulikuwa mchafu umekubuhu kwa ukahaba
unamrudia kwake usiku huku unanuka janaba
kwani ye mlinzi? mbona siyo mzinzi? we kila binti unayemuona unammenyea ndizi duh!
nabaki nalalama maumivu kibao yamenishika mi
nabaki nalalama maumivu kibao yamenishika miiiii
mi nivishwe sanda pia ye avishwe sanda tuwe wote milele
kasema arudii matapishi
kivipiii?
ameshampata wake mpishi
hapanaaa amevunja ahadii
maumivu maumivu maumivu maumivuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuuu
kumbe ulijiona kidume kwa kuwa ulileta sembe
ukuwaza hadi umkune ndo mama atakuita jembe
uvumilivu ukamshinda akakwona hauna zogo
na kumbe ulikuwa unadinda ila akafata michepuko
aliye na ganzi haisi maumivu
ila mi sina ganzi kwangu maumivu
naweza vaa kitanzi yanayonisibu
yakinishinda haya maumivuuu
maumivuuu
wanatazama ulipoteleza ndo kisha wanamchukua
hata ukimwonga cheza utabaki unaiomba dua
utajikuta unamuita shemeji badala ya love en shit
the one in your life for the one and loving davie
nimeamini kilicho chema siku zote kinaonewa
hata kama nikitenda jema bado kwake hakina maanaaa
nabaki nalalama maumivu kibao yamenishika miiii
nabaki nalalama maumivu kibao yamenishika miiiii
mi nivishwe sanda pia ye avishwe sanda tuwe wote milele
kasema harudii matapishii
kivipiii?
ameshampata wake mpishi
hapanaa amevunja ahadi
maumivu maumivu maumivu maumivuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuuu
maumivu maumivu maumivu maumivuuuu
ukitaka kushindana na Roma ama Bob junior inaruhusiwa ila kushinda ndo haiwezekanii