Kibamia ft. Stamina & Maua Sama Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Kibamia ft. Stamina & Maua Sama - Roma Mkatoliki
...
Ohoo huu yeh yeaah sama
Rouma roma Stamina stamina (kill record)
Ohooo u yeaah yeaa
Is ronstam baby (mbea×2)
Nimpende nani kati ya roma au stamina/ohoo uhoo
Huku ama kulee pananchanganya live/ ohoo uhoo
Nani anafaa na kwenye kitanda atanipa rahaa yea
Iyee/ staki kibamia/yeah mwanaume mashinee / yea
-Stamin-
You wape habari shoga zako mi na wewe mpaka kifo
Mi ndo kakako na wako
Usisite kunipa jicho na
Sitokupa talaka bila shaka unanifaa na
Nikipiga shuti unadaka gizani bila ya taa mama
. -Roma-
Acha maringo maa
Usiombee nkupate
Mi ndo kisiki cha mpingo na
Gusa unase
Niliyowaangusha juu ya ulingo walinipa asante
Nkiwachapa walishika fimbo na kuipakapaka mate
-Stamina-
Nikikuona napata mzuka naruka nagaragara
Mama ukitakapeku ntatupa mpaka na ndala
Sio lazima uwe na chura kuumba ni kazi ya maulana
Kwakuwa sina safura chumvini ntazama sana
-Roma-
Nikuonge mali basi zidisha utungu
Nipe michezo harari ninyonye mpaka .(...) Roma roma
Mixa kabali na shingo chini ya uvungu
Na unapolala chali ndo wanantoka wazungu
Nimpende nani kati ya roma au stamina/ohoo uhoo
Huku ama kulee pananchanganya live/ ohoo uhoo
Nani anafaa na kwenye kitanda atanipa rahaa yea
Iyee/ staki kibamia/yeah mwanaume mashinee / yeah
-Roma-
We ndo pumzi yangu mama
Tena ntandanja
We ndo mjuzi wangu kifaa
We ndo kiwanja
Napiga milusi kama kichaa iliyekula ganja
Nipe nichane nyuzi nikandamize kama masanja
. -Stamina-
Siitaji mchuzi wa pweza
Tukiwa chumbani
Wala mtongo wa mzee teza sitoutumia hakiyanani
Nitakupa mapenzi na kila kitu utakacho
Ila nyumba na benz kiukweli vianitoa jasho
. -Roma-
Achana na huyu mliguru njoo kwangu nikusitiri
Hafugiki ka kunguru
So jaribu kufikiri
Maana umepewa uzuri ila
Bila akili ni sifuri
Na zitakazoumia ni sehem za siri
-Stamina-
Achana na huyu mdigo asiyejua maana ya kupenda
Mama ivany mwenyewe kamchoka anataka kwenda
Sina kicheche cha ka.
Mama mwanaume mipango