Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2018

Lyrics

Parapanda - Roma Mkatoliki

...

ROSTAM- Parapanda



its rostam beib

wanamiliki visenti mambo yamebuma mipango haisomeki kuna manabii feki lamana hakuna kila kitu haikieleweki eee

parapanda Italia parapanda yee(aaaha)

mj record

parapanda Italia parapanda

that's wachaa that's wachaa


karibu mzee kingunge kwenye makaz ya milele mi huku Nina mji Wang tayar unaitwa nyerere

nimeshtuka kukuona huku Nini chanzo cha msiba


ni mipango ya mungu na nimekumisi swaiba


Vp nchi yang mtawala ni chama gani


bado ni ccm ingawa hakuna mpinzan


una mana gan? kwaiyo raisi ni nan?


raisi ni john ndo anaongoza usukan

john malechela?


no magufuli ulimwacha ni mbunge wa chato sijui unamkumbuka vizuri


aa aa ngoja kwanza unajua haya mambo haya mi nlizani alipotoka mkapa angefata jakaya

jakaya alitawala akaja akaretire

nmeacha mengi yani mambo ni moto mambo ni fire


a a mbona nasikia kama hali haiko sawa na ni kina nani hawa ambao wanaojiita ukawa


ni wapinzani waliungana lakini hawakumshinda Magu wengine chama walihama na bado wakapata tabu saana kakomesha ufisadi (kodi) kaongeza ukusanyaji hakika umepata mkombozi ataewafikisha nchi ya ahadi


nlisikia siku izi bunge halionyeshwi kwenye TV inamana hoja za viongoz wananchi haziwafikii na mitandao ya kijamii je vp haiwasaidii


kuna dada anaitwa mangi please right my ID


wanamiliki visenti mambo yamebuma mipango haisomeki kuna manabii fekii lamana hakuna kila kitu hakieleweki eeeh


parapanda italia parapanda

Parapanda Italia parapanda


je vp kabur langu Tayar walilijengea na vipi kuhusu mke Wangu maria wanamtembelea


kuhusu kumtembelea ilo toa shaka tena wanamjali na kumlea kwa heshima ya mamlaka


na nmemuona shemeji yangu ama kweli mnapendana mmefatana penzi la kweli kufa na kuzikana vipi mwanangu makongoro mali zangu anazichunga


aaaa bora wa kwako mwenzie bize na tunda mmh hizi Julius ulikuwa simba au yanga


kiukwel nliipenda yanga Ila simba ni kisanga


hehehee mwalimu unajua hadi kisanga


acha hilo nasikia mengi kibamia hadi kudanga namuona komba huku nyimbo za chama anatunga nani?


mi nasikia wanaisoma namba Ila sijui ametunga nani?


cjakuelewa kwani anaesimamia Sanaa ni nani?


mmmh liko baraza ila wasanii wanaishi uani


wanamiliki visenti mambo yamebuma mipango haieleweki kuna manabii fekii lamana hakuna kila kitu hakielewekii eeeh


parapanda Italia parapanda

parapanda Italia parapanda


kuhusu muungano bado upo au umechuja


mpemba anauza kariakoo na mzaramo ana duka unguja


ujinga, maradhi, umaskini bado maadui nipe khaifa


ujinga angalau hao wengine janga la taifa


na kuhusu barabara

zipoo

madaraja

yapoo


kama ni hizo ina mana uchumi unapanda eee


mmh wanadai cherehani ukiwanazo una kiwanda vyuma viko steel na hakuna hospital hazina vitanda


bado Nina maswali mengi vipi mwenendo wa katiba


mchakato ulisitishwa inasemeka walimpiga


walimpiga nani na ni kina nani na nini alifanya


mwalimu sijui ila ni watu wasojulikana

na walompiga risasi lissu

ni watu wasojulikana

ni kina nani walomteka Roma

ni watu wasojulikana

na wanaoteka waandishi wa eee habar

sijui ni watu wasojulika haahaahaahaaa


wanamiliki visenti mambo yamebuma mipango haisomeki kuna manabii fekii lamana hakuna kila kitu hakieleweki eeeh



parapanda Italia parapanda

parapanda Italia parapanda

More Lyrics from Roma Mkatoliki Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status