Je umelisikia jina zuri Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Je umelisikia jina zuri - Papi Clever & Dorcas
...
1Je, umelisikia jina zuri, Jina la Mwokozi wetu? Linaimbiwa duniani pote na katika watu wote.l
Yesu, jina hilo linapita majina yote kwa uzuri! Ni lenye nguvu ya kutuokoa na hatia na makosa.
2Linafariji moyo wa huzuni, latutia raha kuu. Katika shida na hatari huku jina hili latulinda.
3Katika giza huku jina hili linang’aa kama nyota, lanipa utulivu na ‘hodari siku zote hata kufa.
4Majina yote yasahauliwa, ila jina lake Yesu milele litang’aa huko juu. Yesu, jina nzuri mno