Neema ya Goligotha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Neema ya Goligotha - Papi Clever & Dorcas
...
Nilipofika Golgotha nikaiona huko neema kubwa kama mto,
neema ya ajabu.
Neema ya Golgotha
ni kama bahari kubwa,
ne’ma tele na ya milele,
ne’ma ya kutosha!
Neema ya Golgotha
ni kama bahari kubwa,
ne’ma tele na ya milele,
ne’ma ya kutosha!
2Nilipofika moyo wangu
ulilemewa sana,
sikufaamu bado vema
neema yake kubwa.
Neema ya Golgotha
ni kama bahari kubwa,
ne’ma tele na ya milele,
ne’ma ya kutosha!
Neema ya Golgotha
ni kama bahari kubwa,
neema tele na ya milele,
neema ya kutosha!
3Nilipoona kwamba Yesu
alichukua dhambi,
neema ikadhihirika,
na moyo ukapona.
Neema ya Golgotha
ni kama bahari kubwa,
ne’ma tele na ya milele,
ne’ma ya kutosha!
Neema ya Golgotha
ni kama bahari kubwa,
neema tele na ya milele,
neema ya kutosha!
Mbinguni nitakapofika,
furaha itakuwa,
kuimba juu ya neema,
milele na milele.
Mbinguni nitakapofika,
furaha itakuwa,
kuimba juu ya neema,
milele na milele.
Neema ya Golgotha,
ni kama bahari kubwa,
neema tele na ya milele,
neema ya kutosha!
Neema ya Golgotha,
ni kama bahari kubwa,
neema tele na ya milele,
neema ya kutosha!
Neema ya Golgotha
ni kama bahari kubwa,
neema tele na ya milele,
neema ya kutosha!
Neema tele na ya milele,
neema ya kutosha!
Neema tele na ya milele,
neema ya kutosha!