Ameniweka huru kweli Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ameniweka huru kweli - Papi Clever & Dorcas
...
ameniweka huruu kweli naiba sasa hallelujah kwa msalaba nmepata kutoka katika utumwa×2
nmeokoka nafurahii na dhambi zangu zimetoka nataka kumtumikia mokozi wangu siku zote×2
zamani nlifungwa sana kwa minyoro ya shetani nikampea bwana yesu akaniweka huruu kweli ×2
nmeokoka nafurahii na dhambi zangu zimetoka nataka kumtumikia mokozi wangu siku zote×2