Fanyia mungu kazi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Fanyia mungu kazi - Papi Clever & Dorcas
...
Fanyia Mungu kazi ndio usiku waja,
umtumikie Mungu siku zako zote,
fanyia Mungu kazi ndio usiku waja,
umtumikie Mungu siku zako zote,
Anzaspema sana dumu mchana kutwa,
ndio usiku waja kazi itakwisha
Anza mapema sana dumu mchana kutwa,
ndio usiku waja kazi itakwisha,
...................
Fanyia Mungu kazi kama ungalijua
usipoteze bure siku zako zote
fanyia Mungu kazi kama ungalijua
usipoteze bure siku zako zote
uyatimize yote bila kukosa neno
ndio usiku waja kazi itakwisha
uyatimize yote bila kukosa neno
ndio usiku waja kazi itakwisha
...................
Fanyia Mungu kazi saa yapita mbio
fanya bidii sana kuokoa ndugu
fanyia Mungu kazi saa yapita mbio
fanya bidii sana kuokoa ndugu
mtumikie Mungu kwa nguvu yako yote
ndio usiku waja kazi itakwisha
mtumikie Mungu kwa nguvu yako yote
ndio usiku waja kazi itakwisha